Mwanzilishi wa POLAQUE DESIGNS ni Joseph Kulungu. Joseph ni mbobezi wa graphics designing,website designing na Digital Marketing.
Kama inavyoaminika, kiatu kizuri kitakufikisha unakotaka kwenda, Joseph anaamini kuwa huduma zetu bora tunazotoa zitawafikisha wateja wetu huko wanakotaka kufika.Huduma zetu zinaongeza thamani ya chapa yoyote mbele ya mteja na hivyo kuleta matokeo chanya.
Neno kutoka kwa Mwanzilishi.
"Kupitia Huduma zetu ningependa kuona kila mtu anaitazama dunia kwa jicho la mtoto ambaye kwake hakuna tofauti kati ya kinachowezekana na kisichowezekana."

No comments:
Post a Comment